Picha za uchaguzi wa Tanzania

wafusi wa chama tawala cha CCM Tanzania wakimaliza kampeni za uchaguzi wa 2010

Dk Salim Ahmed Salim, waziri mkuu wa zamani wa Tanzania akipiga kura yake jijini Dar es Salaam

Viongozi wa chama cha wananchi CUF wakifunga kampeni zao za uchaguzi

Wapiga kura wa Gongolamboto wanapiga kura katika kituo cha Madatu

Mkutano wa chama cha upinzani cha Chadema kumaliza kampeni za uchaguzi wa 2010 Dar es Salaam

Wafuatiliaji wa uchaguzi wa kimataifa wakiwa huko Gongolamboto

Uchaguzi wa tanzania vifaa vyan kupiga kura

Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam akilalamika kwa kutoona jina lake kwenye orodha ya kupiga kura.

Mfanyakazi wa kituo cha uchaguzi akibandika tangazo la kituo cha Madatu huko Gongolamboto

Rajabu Kiravu, Mkurugenzi wa tume ya taifa ya uchaguzi Tanzania

Msimamizi wa kituo cha kupiga kura akitayarisha vifaa vya kupiga kura huku wapiga kura wakisimama kusubiri kufunguliwa kwa kituo.