Picha za uchaguzi wa katikati ya mhula Marekani

Idadi ya wabunge katika mabaraza mawili ya bunge kabla ya uchaguzi wa kati kati ya mhula

Waziri wa kazi wa Marekani Hilda Solis, kushoto, pamoja na Seneta. Barbara Boxer, wa Carlifonia wakiwahimiza wapiga kura kujitokeza kwenda kupiga kura.

Rais wa zamani wa Marekani Bill Clinton akimbeba mtoto akiwa katika kapeni huko Washingtonville, N.Y.

Rand Paul, nyote wa vuguvugu la Tea Party akishinda kiti cha Senet huko Kentucky kwa niaba ya chama cha Republican.

Kituo cha upigaji kura katika maktaba ya Sahara West, Las Vegas

Mpiga kura akifanya uwamuzi wake

John Boehner spika mpya wa baraza la Wawakilishi katika bunge la Marekani

Rais Barack Obama akimaliza kampeni ya uchaguzi huko Chicago

Michelle Obama, mke wa rais Obama akipiga kura huko Chicago.

Rais Barack Obama na mke wake Michelle wakijaribu kuwahamasisha wafuasi wa wagombea Democrates huko Ohio.

Maelfu na maelfu ya mashabiki wahudhuria mkutano wa hadhara ulotayarishwa na wachekeshaji mashuhuri wa marekani Jon Stewart and Stephen Colbert, wiki moja kabla ya uchaguzi wa kati kati ya mhula

wamarekani waleta mabadiliko makubwa katika uwongozi Marekani wakati wa uchaguzi wa kati kati ya mhula.