Janet Kabila mkuu wa Wakfuu wa Laurent d. Kabila alitembelea majimbo ya Kivu na Oriental kutowa misaada kwa awathiriwa wa vita na ubakaji.
Ziara ya Janet Kabila jimboni Oriental DRC
Janet Kabila akizungumza na waandishi habari wakati wa ziara yake jimboni Oriental
Janet Kabila akitowa msaada kwa waathiriwa wa vita katika kijiji cha Uele ya Juu, jimboni Oriental
Janet Kabila akimsaidia mama mmoja aliyepokea msaada kutoka wakfuu ya Laurent Kabila Uele ya Juu jimboni Oriental
Janet Kabila akizungumza na mzee wa kijiji cha Uele ya JUu alipokuwa anatoa msaada kutoka wakfuu ya babake
Wadi ya wagonjwa mahtuti katika hospitali ya Watsa
Jengo la hospitali ya Watsa jimboni Oriental
Wakazi walopoteza makazi yao kutokana na mapigano katika hospitali ya Watsa, jimboni Oriental
Mtaa mmoja katika mji wa Watsa, Oriental nchini DRC