Maisha ya watu Sudan Kusini

Mkazi wa Sudan kusini aliyerudi nyumbani akisubiri wafanyakazi wa Idara ya Chakula Duniani kuanza kugawa chakula.huko Bahr el Ghazal jimbo la south Sudan.

Wavulana wa Sudan kusini wakisubiri mbele ya nyumbani kwao karibu na Khartoum.

Rais Salva Kiir wa Sudan kuisni akipiga kura wakati wa kura ya maoni mjini JUba tarehe 9 Januari 2010.

Wakazi wa Sudan kusini wamekua wakijitayarisha kwa miaka sita ilikupiga kura kuamua juu ya mustakbal wao wa kuwa huru au kubaki kua Sudan moja.