Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Julai 25, 2024 Local time: 16:06

 Wizara ya afya Zimbabwe yaimarisha kinga dhidi ya kipindu pindu


Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa,alipokuwa Misri kwenye mkutano wa Mazingira, Nov. 7, 2022. (AP).
Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa,alipokuwa Misri kwenye mkutano wa Mazingira, Nov. 7, 2022. (AP).

Wizara ya Afya na Malezi ya Watoto ya Zimbabwe ilisema visa vya kipindupindu vilivyothibitishwa viliripotiwa katika majimbo yote 10 ya nchi hiyo na hakuna uhusiano wa janga kati yao.

Kwa sasa, Wizara ya Elimu ya Msingi na Sekondari nchini humo imeimarisha kinga dhidi ya ugonjwa huo ili kuepusha mlipuko mkubwa zaidi mashuleni.

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto lildai kuwa umaskini, majanga ya kiasili, migogoro, mabadiliko ya hali ya hewa na ukosefu wa maji salama na usafi wa mazingira vimechangia zaidi janga la kipindupindu barani Afrika.

XS
SM
MD
LG