Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Juni 18, 2024 Local time: 16:05

Waislam wa kawaida ni waathirika wakwanza wa Ugaidi


프랑수아 올랑드 프랑스 대통령이 15일 파리의 아랍세계연구소(AWI) 초청 강연에서 연설하고 있다.
프랑수아 올랑드 프랑스 대통령이 15일 파리의 아랍세계연구소(AWI) 초청 강연에서 연설하고 있다.

Rais wa Ufaransa Francois Hollande, amesema Waislam wa kawaida ndio waathirika wa mwanzo wa Uislam wenye msimamo mkali.

Rais Hollande alizungumza hayo katika Taasisi ya Arab World, mjini Paris, Ufaransa, ambapo taasisi hiyo inafanya juhudi za kuleta uhusiano baina ya Ufaransa na tamaduni za kiarabu.

Ufaransa inaendelea kushughulika na mashambulizi ya kigaidi ya wiki iliyopita yaliyofanywa na waislam wenye msimamo mkali waliokuwa na uhusiano na Al-Qaida.

Amesema kadhia kama ya wiki iliyopita ya mashambulizi katika jarida la Charlie Hebdo, inaweza kutumika kuondoa hali ya kuaminiana ama kufanya watu kutoa ujumbe wao kwa kutumia “vitendo vibaya zaidi.”

XS
SM
MD
LG