Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Februari 28, 2024 Local time: 16:15

Wafanyakazi wa serikali wagoma Ugiriki


Waandamanaji katika mji wa bandari wa Thessaloniki, Greece, Julai 16, 2013.
Waandamanaji katika mji wa bandari wa Thessaloniki, Greece, Julai 16, 2013.
Wafanyakazi nchini Ugiriki wanaandamana kupinga mipango ya serikali kuwafukuza kazi maelfu ya wafanyakazi wa serikali.

Mgomo wa Jumanne ulidumaza huduma za umma na kuathiri zaidi huduma za hospitali, sekta za reli na pia safari za ndege.

Watalii waliotumaini kuona majengo ya zamani ya Acropolis Hill huko Athens walizuiwa. Baadhi ya watalii hao walijumuika na Wagiriki kwenye mgomo huo, huku wengine wakiwa hawajui cha kufanya.
XS
SM
MD
LG