Upatikanaji viungo

Mwanamke arudi baada ya kutoweka miaka 20 Kenya


Ruth Nyanchoma arudi nyumbani katijka kijiji cha Mutumwa, Kisii huko Kenya baada ya kutoweka kwa miaka 20, akipokelewa kwa shangwe na nderemo. BMJ Murithi asimulia juu ya kilichomsababisha mwanamke kutoweka muda huo wote.

Mji mmoja wa Utaliana unapiga marufuku wanawake kuva skati fupi la sivyo unapigwa fini ya dola 700.
XS
SM
MD
LG