Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Juni 19, 2024 Local time: 20:50

Watanzania wajitokeza kwa wingi kupiga kura


Wapiga kura katika kituo kimoja nchini Tanzania wapanga mstari kusubiri zamu yao ya kupiga kura
Wapiga kura katika kituo kimoja nchini Tanzania wapanga mstari kusubiri zamu yao ya kupiga kura

Watanzania walianza zoezi la kupiga kura mapema Jumapili katika uchaguzi mkuu nchini humo huku kukiwa na utulivu katika vituo vingi vya kupigia kura.

Waandishi wa idhaa ya kiswahili ya Sauti ya America wamekuwa wakifuatilia matukio kwa karibu wakitutumia habari za moja kwa moja kutoka maeneo tofauti tofauti nchini humo.

Usikose kujifahamisha ni yapi yanayojiri kwenye zoezi hilo ambalo limeleta msisimko mkubwa wa kisiasa nchini Tanzania na hata kwenye eneo nzima la maziwa makuu.

Idhaa ya Kiswahili ya Sauti Ya Amerika-VOA iko chonjo kukujuza mengi yanayoendelea kupitia tovuti na kurasa zetu za Facebook, Twitter na Instagram. Wewe pia unaweza kutoa maoni yako kuhusu matukio popote ulipo.

Tembelea kwenye Facebook yetu na uchangie swala hili.

XS
SM
MD
LG