Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Februari 04, 2023 Local time: 06:14

Sherehe ya ushindi yaendelea Senegal


Mashabiki wa timu ya Senegal wakishangilia ushindi dhidi ya Poland katika uwanja wa Spartak mjini Moscow, Jumanne, Juni 19, 20`8.

Wananchi wa Senegal wamepokea ushindi wao katika Kombe la Dunia Russia 2018 kwa shangwe kubwa katika tukio la kuangalia mchezo wao dhidi ya Poland moja kwa moka kutoka Russia.

Takriban mashabiki 1,000 wa Senegal walikusanyika katika viwanja vya wazi mjini Dakar kushuhudia mchezo wao wa Jumanne ambapo walishuhudia burudani ya ushindi kutoka kwa wawakilishi wao wa (2-1).

World Cup Senegal Fans
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:30 0:00

Ushindi wa Senegal umeleta matumaini barani Afrika kutokana na timu zote za Afrika kutoshinda katika michezo yake ya kwanza. Ni Senegal pekee ndiyo iliyopata ushindi kwa wawakilishi watano wa Afrika. Morocco, Misri tayari zimeshindwa kufuzu raundi ya pili.

Senegal itacheza na Japan, Juni 24, 2018 katika mchezo wake wa pili katika kundi H.

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG