Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Mei 30, 2024 Local time: 21:23

Washukiwa wanyongwa Paskistan

In Qayyarah, Iraq, smoke from burning oil wells burns over the city after being set on fire again by Islamic State militants. October 24, 2016. (H.Murdock/VOA)
In Qayyarah, Iraq, smoke from burning oil wells burns over the city after being set on fire again by Islamic State militants. October 24, 2016. (H.Murdock/VOA)

Paskistan leo imewanyonga wanaume wasiopunguka kumi.

Pakistan leo imewanyonga wanaume wasiopungua kumi ikiwa ni idadi kubwa zaidi kufanyika siku moja tangu Serikali ilipoondoa kusitisha kwa muda adhabu ya kifo. Kubatilishwa kwa sera hiyo kwa mara ya kwanza kulitumika kwa wafungwa ambao walikutwa na hatia ya mashtaka ya ugaidi, lakini taarifa za wiki iliyopita zimeeleza kwamba mabadiliko yaliongezeka na kujumuisha wafungwa wote waliohukumiwa adhabu hio na ambao rufaa zao zilikataliwa. Tangu adhabu ya kifo iliporejeshwa , watu ishirini na saba wameadhibiwa pamoja na wanaume kumi walionyongwa hivi leo.

XS
SM
MD
LG