Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Oktoba 04, 2024 Local time: 18:12

Mkataba wa kilimo watiwa saini kati ya Israel na Morocco


Mashamba ya kilimo kwenye kijiji cha Battir kusini Jerusalem, Israel. December 12, 2012.
Mashamba ya kilimo kwenye kijiji cha Battir kusini Jerusalem, Israel. December 12, 2012.

Waziri wa kilimo wa Morocco ametia saini mkataba wa ushirikiano na mwenzake wa Israel Alhamisi kwa lengo la kuimarisha ushirikiano kwenye masuala ya kilimo na maji kati ya mataifa yote mawili.

Mkataba huo sasa unafungua njia ya kushirikiano wa timu kutoka mataifa yote mawili kufanya kazi pamoja wakati kukiwa na mpango wa kuzindua kituo cha masomo ya kilimo pamoja na miradi ya teknolojia ya kilimo na maji.

Mkataba huo umefanyika wakati wa kongamano la pili la Afya barani Afrika likifanyika, likilenga kupunguza hatari za kiafya,na ambalo limehudhuriwa na Israel mjini Marrakesh.

Forum

XS
SM
MD
LG