Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Oktoba 24, 2020 Local time: 18:16

Mjumbe wa AU asema huenda Kony anaumwa


Joseph Kony, kiongozi wa kundi la waasi wa Uganda.(LRA)
Mjumbe maalumu wa Umoja wa Afrika amesema mbabe wa kivita kutoka Uganda Joseph Kony huenda akawa mgonjwa sana na anatafuta hifadhi kwa wapiganaji wake wa kundi la Lord’s Resistance Army.

Fransisco Madeira mjumbe maalum wa Umoja wa Afrika anayehusika na swala la kundi la waasi wa Uganda- LRA, alisema Jumatano kwamba kiongozi wa Jamhuri ya Afrika Kati amewasiliana na Kony na anajaribu kufanya mashauriano naye ili kujisalimisha kwake.

Lakini Madeira anasema inawezekana Kony anaidanganya serikali ya Jamhuri ya Afrika ya Kati ili inapofanya majadiliano, apate muda wa kufanya mkakati wa kuhamisha wapiganaji wake.

Mjumbe huyo hakutoa maelezo zaidi kuhusu kuugua kwa Kony.

Ona maoni (1)

mjadala huu umefungwa

Kura ya Maoni : Uchaguzi Tanzania

Kama unapiga kura leo utampigia nani kura yako ya urais?

Kura hii ya maoni si ya kisayansi na inaonyesha maoni ya waliojibu maswali tu.

Kama unapiga kura leo utampigia nani kura yako ya urais?

Kura hii ya maoni si ya kisayansi na inaonyesha maoni ya waliojibu maswali tu.

XS
SM
MD
LG