Marekani inamkumbuka mwendesha kipindi cha Soul Train, Don Cornelius, aliyefariki kwa kujipiga risasi Februari mosi nyumbani kwake mjini Los Angeles.
Kipindi cha Soul Train kinakumbukwa kwa mchango wake katika utamaduni wa Marekani kwa kuonyesha muziki na mitindo ya dansi ya Wamarekani weusi nchini Marekani