Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Juni 14, 2024 Local time: 19:07

Kenya yapeleka maafisa usalama kaunti ya Lamu

Miongoni mwa mashambulizi yaliyopita ni kushambuliwa kwa basi la Taheed.
Miongoni mwa mashambulizi yaliyopita ni kushambuliwa kwa basi la Taheed.

Ripoti ya Idara ya polisi nchini humo ilithibitisha waliouawa ni watu watatu, lakini ikasema ni mapema mno kuhusisha mauaji hayo na kundi la kigaidi la Al Shabaab kutoka Somalia.

Kenya imewatuma maafisa zaidi wa usalama katika kaunti ya Lamu ambako watu waliokuwa na bunduki waliwaua watu watatu Jumapili na kuwajeruhi wengine kadhaa na kuzua khofu zaidi ya mashambulio ya kigaidi.

please wait

No media source currently available

0:00 0:02:55 0:00
Kiungo cha moja kwa moja

Ripoti ya Idara ya polisi nchini humo ilithibitisha waliouawa ni watu watatu, lakini ikasema ni mapema mno kuhusisha mauaji hayo na kundi la kigaidi la Al Shabaab kutoka Somalia.

Wakati huo huo watu wameripotiwa kutoroka kutoka kijiji cha kaisari mahala ambapo mauaji hayo yalitokea pamoja na vijiji vya jirani ambako watu wengine wameonekana wakihamisha mifugo yao kwa kuhofia usalama wa mali na familia zao.

XS
SM
MD
LG