Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Aprili 19, 2024 Local time: 09:30

Kenya kuajiri wanajeshi zaidi


Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta.
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta.

Kenya imetenga kipindi cha mwezi mmoja hadi Oktoba tarehe 20 kuajiri wanajeshi wapya taktiban elfu nne, wakiwapo wataalamu wengine kufanya kazi katika jeshi la taifa.

please wait

No media source currently available

0:00 0:02:52 0:00
Kiungo cha moja kwa moja

Azma ya Kenya kusajili vijana wengi zaidi na kuwapa mafunzo ya kijeshi inatokana na mpango wa kuimarisha usalama katika taifa hilo la Afrika Mashariki, ambalo mara kwa mara limevamiwa na magaidi.

Katika zoezi hilo pia Kenya wanalenga kupunguza ufisadi katika vituo vya kusajili vijana ambavyo vimesambazwa maeneo yote nchini humo huku kukiwa na kiwango cha umri wa miaka 18.

Lakini pamoja na yote hayo bado kuna malalamiko katika zoezi hilo baadhi ya wakazi wa Mombasa wameeleza changamoto walizoona kama Safari anasema “mimi mzaliwa wa Mombasa lakini kitambulisho nimechukulia hapa lakini wanasema mpaka niende Kilifi lakini sisi sote wote tunataka kazi ni wakenya wakule wapate kazi na huku pia kidogo sisi ”.

Usajili huu ni hatua kubwa nchini humo .

XS
SM
MD
LG