Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Machi 29, 2024 Local time: 02:25

Jim Brown atakumbukwa kwa michezo, uanaharakati na uigizaji filamu


Mchezaji wa zamani wa Cleveland Brown na mwigizaji Brown alipowasili kwenye Tuzo ya 2 ya Mwaka ya NFL huko New Orleans wakati wa uhai wake.
Mchezaji wa zamani wa Cleveland Brown na mwigizaji Brown alipowasili kwenye Tuzo ya 2 ya Mwaka ya NFL huko New Orleans wakati wa uhai wake.

Jim Brown, mmoja wa wachezaji mashuhuri waliocheza nafasi ya ushambuliaji  katika historia ya Ligi ya Kitaifa ya mpira wa Marekani –NFL  ambaye aliacha mchezo huo katika kilele cha taaluma yake na kuingia katika sinema za Hollywood.

Jim Brown, mmoja wa wachezaji mashuhuri waliocheza nafasi ya ushambuliaji katika historia ya Ligi ya Kitaifa ya mpira wa Marekani –NFL ambaye aliacha mchezo huo katika kilele cha taaluma yake na kuingia katika sinema za Hollywood.

Akiwa kama mwigizaji na kuongeza sauti yake kwenye harakati za haki za kiraia, alifariki dunia alhamisi akiwa na umri wa miaka 87.

Mkewe Monique Brown alisema kwenye Instagram.

"Kwa ulimwengu alikuwa mwanaharakati, mwigizaji, na nyota wa kucheza mpira. Kwa familia yetu, alikuwa mume mwenye upendo na wa hali ya juu baba, na babu. Mioyo yetu imevunjika," aliandika.

Akiwa mchezaji mashuhuri wa Cleveland Browns, Brown alichanganya nguvu, kasi na ukubwa wa mwili wake kwa njia ambayo haikuwahi kupata kuonekana kwenye ligi ya NFL kabla ya kujiunga na ligi mwaka wa 1957. Alitangaza kustaafu Julai 1966 akiwa London akirekodi filamu yake ya pili, "The Dirty Dozen."

Alikuwa mtu mashuhuri katika vuguvugu la Black Pride la miaka ya 1960 na rafiki wa Malcolm X na Louis Farrakhan pamoja na Huey Newton, mwanzilishi mwenza wa kundi la wapiganaji la Black Panthers.

Brown led the NFL in rushing in eight of his nine seasons and was voted the league's most valuable player four times. He held 20 league records when he retired at age 30, including most rushing yards and most rushing touchdowns. In 1999, the Sporting News put him atop its list of the 100 greatest players of the 20th century.

Brown aliongoza NFL kwa kasi katika misimu minane kati ya tisa na alichaguliwa mchezaji bora zaidi wa ligi mara nne. Alishikilia rekodi 20 za ligi alipostaafu akiwa na umri wa miaka 30.

Mwaka 1999, Sporting News ilimweka juu ya orodha yake ya wachezaji 100 wakubwa wa karne ya 20.

NFL Commissioner Roger Goodell said in a statement on Friday that Brown was one of the most dominant players to ever step on any athletic field and also a cultural figure who helped promote change.

Kamishna wa NFL Roger Goodell alisema katika taarifa yake Ijumaa kwamba Brown alikuwa mmoja wa wachezaji mashuhuri kuwahi kukanyaga uwanja wowote wa mpira na pia mtu ambaye alisaidia kukuza mabadiliko.

UANAHARAKATI

Mwaka 1967, Brown alijiunga na wachezaji wengine wanaharakati kama vile Bill Russell wa mpira wa kikapu na Lew Alcindor, ambaye baadaye alibadilisha jina lake na kuwa Kareem Abdul-Jabbar, katika kuunga mkono kukataa kwa Muhammad Ali kuandikishwa kwenda vitani katika jeshi la Marekani.

Brown was one of the first U.S. athletes to parlay his on-field accomplishments into another full-time career, which included more than 40 movies and television shows. His rugged good looks and quiet charisma made him a natural for tough-guy roles and he made his first movie, the Western "Rio Conchos," in 1964 while still with the Browns.

Brown alikuwa mmoja wa wanamichezo wa kwanza wa Marekani kuonyesha mafanikio yake uwanjani katika kazi nyingine ambayo ilijumuisha kushiriki zaidi ya filamu 40 na maonyesho ya televisheni. Mwonekano wake mzuri na haiba ya utulivu ilimfanya kuwa na staili ya aina yake akitengeneza sinema yake ya kwanza, Western "Rio Conchos," mwaka 1964 akiwa bado na timu ya Cleveland Browns.

XS
SM
MD
LG