Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Mei 18, 2024 Local time: 03:45

Dunia yaadhimisha siku ya haki za binadamu

Nembo ya siku ya haki za binadamu duniani
Nembo ya siku ya haki za binadamu duniani

Huko nchini Kenya Changamoto za kiusalama zinazokumba nchi hiyo zimejitokeza Alhamisi wakati wa kuadhimisha siku ya kimataifa ya haki za kibinadamu, huku mashirika ya kijamii yakiungana katika sherehe hizo.

Dunia imeadhimisha siku ya haki za binadamu desemba 10 kwa kufanya harakati mbalimbali .

Umoja wa mataifa uliteuwa siku hii ili kukumbuka shughuli zote zinazofanywa na wanaharakati wa masuala ya kutetea haki za binadamu , serikali ya na nchi kwa ujumla ikiwa ni pamoja kutumia siku hii katika kuhamasisha utekelezwa wa haki za binadamu.

please wait

No media source currently available

0:00 0:02:34 0:00
Kiungo cha moja kwa moja

Huko nchini Kenya Changamoto za kiusalama zinazokumba nchi hiyo zimejitokeza Alhamisi wakati wa kuadhimisha siku ya kimataifa ya haki za kibinadamu, huku mashirika ya kijamii yakiungana katika sherehe hizo.

Tofauti na miaka mingine masuala ya afya, haki za vijana na wanawake yamejitokeza katika hotuba za viongozi.

XS
SM
MD
LG