Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Desemba 06, 2024 Local time: 02:14

China itafanya mazoezi ya kijeshi kupambana na ugaidi na usalama baharini


Rais wa China, Xi Jinping. Oct. 19, 2023.
Rais wa China, Xi Jinping. Oct. 19, 2023.

Zoezi hilo litakalofanyika katika jimbo la kusini mwa China la Guangdong litajumuisha vikosi vya Cambodia, Lao, Malaysia, Thai na Vietnam. Mazoezi hayo yatajikita katika kupambana na ugaidi pamoja na usalama wa baharini

China itafanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi na nchi tano za Asia Kusini Mashariki kuanzia katikati ya mwezi huu hadi mwishoni mwa Novemba, shirika la habari la serikali Xinhua liliripoti Jumapili.

Zoezi hilo litakalofanyika katika jimbo la kusini mwa China la Guangdong litajumuisha vikosi vya Cambodia, Lao, Malaysia, Thai na Vietnam. Mazoezi hayo yatajikita katika kupambana na ugaidi pamoja na usalama wa baharini, Xinhua imesema.

Forum

XS
SM
MD
LG