Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Septemba 29, 2023 Local time: 06:44

#BALonVOA2021 : Michuano ya Nusu Fainali kuanza Jumamosi


Jiunge nasi na usikilize mubashara matangazo ya Nusu Fainali ya Ligi ya Mpira wa Kikapu ya Afrika (BAL) , itakayochezwa Kigali, Rwanda, Jumamosi.

Tusikilze kupitia https://bit.ly/2RcwsEd au stesheni ya radio ya VOA katika eneo lako.

Jumamosi, Mei 29

Petro de Luanda (Angola) vs. Zamalek (Egypt) 2:00 p.m. CAT

Patriots BBC (Rwanda) vs. US Monastir (Tunisia) 5:30 p.m. CAT

XS
SM
MD
LG