Mashabiki wa soka wa Uganda Cranes wakiwa na matumaini kabla ya kuanza mashindano ya AFCON.
Mechi za Mataifa ya Afrika Live!
Jiunge nasi kujua kinachoendelea huko Gabon ambapo kombe la mataifa ya Afrika linaendelea hivi sasa. Usisahau kutuma maoni yako na kutueleza kinachoendelea.