Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Oktoba 29, 2020 Local time: 22:23

Rais Obama amtaja Mahmoud Abbas mshirika wa kweli wa amani na Israel.


Rais Obama akizungumza na vijana wa chuo kikuu huko Israel.
Rais wa Marekani Barack Obama amewahakikishia vijana wa Israel kwamba hawako peke yao katika kupambana na vitisho kwa hali ya usalama wa Israel , wakati akiwataka kutafuta amani na wapalestina kama njia pekee kwa usalama wa kweli.

Katika hotuba kwa wanafunzi wa chuo kikuu kimoja huko Jerusalem Alhamisi , Bw.Obama aliongea kwa kirefu juu ya historia ya utafutaji wa uhuru wa muda mrefu kwa watu wa Israel katika ardhi yao na thamani inayoshirikisha Wamarekani na Israel.

Bw.Obama anasema viongozi wa Israel lazima watambue kwamba “kuendelea na shughuli za ujenzi wa makazi ya walowezi” katika nchi ambayo wa-Palestina wanadai kuwa taifa ni kinyume . Bw.Obama pia anasema anaamini Israel inaye mshirika wa kweli wa amani Rais wa Palestina Mahmoud Abbas.

Kura ya Maoni : Uchaguzi Tanzania

Kama unapiga kura leo utampigia nani kura yako ya urais?

Kura hii ya maoni si ya kisayansi na inaonyesha maoni ya waliojibu maswali tu.

Kama unapiga kura leo utampigia nani kura yako ya urais?

Kura hii ya maoni si ya kisayansi na inaonyesha maoni ya waliojibu maswali tu.

XS
SM
MD
LG