Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Februari 29, 2024 Local time: 20:52

Mawaziri waelezea umuhimu wa muafaka wa kudumisha muungano Tanzania.


Mwalimu Julius Nyerere Rais wa zamani wa Tanzania akichangaya mchanga wa Zanzibar na Tanganyika kuunda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mwalimu Julius Nyerere Rais wa zamani wa Tanzania akichangaya mchanga wa Zanzibar na Tanganyika kuunda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Tanzania ikiwa inasheherekea miaka 50 ya muungano uliounda nchi hiyo wananchi wanafuatilia kwa makini mjadala mkali unaoendelea katika bunge maalum la katiba nchini humo kuhusu hatima ya muungano katika miaka ijayo.

Sauti ya Amerika ilipata nafasi ya kuzungumza na waziri wa nchi ofisi ya rais Zanzibar, Mwinyihaji Makame na naibu wa fedha wa Tanzania Mwigulu ambao walihudhurua sherehe hizo hapa Washington Dc kushiriki katika sherehe za muungano zilizoandaliwa na ubalozi wa Tanzania Washington Dc.

Kusikiliza mahojiano bofya hapa.
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:29 0:00
Kiungo cha moja kwa moja
XS
SM
MD
LG