Upatikanaji viungo

Muingiliano wa kibiashara kati ya nchi za Afrika Mashariki.


Marais wa nchi za Afrika mashariki Uhuru Kenyatta wa Kenya, Jakaya Kikwete of Tanzania, Yower Museveni of Uganda and Pierre Nkurunziza wa Burundi.
Katika kipindi cha Live Talk Ijumaa tunazungumzia "Muingiliano wa kibiashara kwa Nchi za Afrika Mashariki". Je wananchi na wafanya biashara wanafahamu sheria na mikakati iliyowekwa na viongozi kuanzisha biashara huru katika kanda hiyo.

Wageni wetu mbunge wa Tanzania katika Jumuiya ya Afrika Mashariki Shy-Rose Bhanji na mchumi na mfanyabiashara wa Tanzania Exaud Makyao na mfanyabiasahara wa Burundi Yvan Manirakiza, wajaribu kutufafanulia zaidi.
Kusikiliza mahojiano yetu bofya hapa.

XS
SM
MD
LG