Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Septemba 27, 2022 Local time: 07:55

Kuachiwa Mubarak kwaleta hisia tofauti Misri.


Rais wa zamani wa Misri, Hosni Mubarak.
Rais wa zamani wa Misri Hosni Mubarak ambaye alikuwa kizuizini tangu Aprili 2011 Alhamisi ametolewa jela na kuhamishiwa kwenye hospitali moja ya kijeshi huko Cairo ataendelea kutumikia kifungo cha nje.
please wait
Embed

No media source currently available

0:00 0:02:24 0:00
Kiungo cha moja kwa moja

Mchambuzi na mwanafunzi wa chuo kikuu cha Al -Azhar Sherif Ahmad Abbas amesema hali hii inaweza kuwa pigo kwa wale walioshiriki mapinduzi ya Januari 25, 2011.

Ameongeza hii ni kwasababu wananchi walioshiriki kwa asilimia kubwa katika mapinduzi hayo kwa hiyo inaweza kupelekea wananchi kutokuwa na imani na mahakama zao na kuhisi kilichotokea si cha haki bali ni dhuluma.Kusikiliza mahojiano hayo bofya hapa.
XS
SM
MD
LG