Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Juni 18, 2024 Local time: 11:49

Baraza la seneti lamthibitisha Chuck Hagel kuwa waziri wa ulinzi ajaye.


Seneta wa zamani wa Nebrasaka Chuck Hagel wakati wa kikao cha kumthibitisha.
Seneta wa zamani wa Nebrasaka Chuck Hagel wakati wa kikao cha kumthibitisha.
Baraza la seneti limemthibitisha Chuck Hagel kuwa waziri ajaye wa ulinzi.
Baraza la seneti limeidhinisha uteuzi huo jana Jumanne kwa kura 58 kwa 41.

Hatua hiyo ilikuja saa chache baada ya baraza la seneti kupiga kura kumaliza mdahalo juu ya uteuzi huo na kufungua njia kuthibithswa kwake katika baraza la seneti lenye wademoktrat wengi.

Rais Barack Obama alisifu uteuzi huo akisema kwa manenno yake kuwa Marekani wanaye waziri wa Ulinzi ambaye taifa linamhitaji na kiongozi ambaye majeshi yetu yanahitaji . Taarifa ya White house ilimtaja askari huyo wa zamani anayaheshimika kuwa ni mzalendo.
XS
SM
MD
LG