Ijumaa, Aprili 10, 2026 Local time: 11:45
Kwa Undani: Mapigano yameongezeka Ukraine huku nafasi ya diplomasia ikififia
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.