Jumatatu, Aprili 13, 2026 Local time: 03:26
Wanawake na watoto waathirika na ukame Kaskazini Mashariki mwa Kenya
Hali mbaya ya ukame inaathiri wanawake na watoto walio chini ya miaka mitano Kaskazini mashariki mwa Kenya , wanaharajati wanataka serikali kuchukua hatua zaidi ili kuweza kusaidia wanawake hao na watoto ambao wengi wanateseka na utapia mlo.