Zulia Jekundu: Wiki ya fashion ya New York yarejea 10 Septemba, 2021 Your browser doesn’t support HTML5 Wiki ya fasheni ya New York imerejea tena wiki hii baada ya kutofanyika kwa muda mrefu kutokana na janga la corona.