Zulia Jekundu October 15, 2021: Jinsi mtangamano ulivyoathiriwa na COVID-19 Afrika Kusini

Your browser doesn’t support HTML5

Tunaangazia mtangamano wa wananchi wa Afrika Kusini baada ya kubakia nyumbani kwa muda mrefu kutokana na janga la virusi vya corona.