Kenya yaanza kuona Netflix bure

Your browser doesn’t support HTML5

Kampuni ya Netflix wiki hii imeanza kuonyesha baadhi ya filamu na series bure nchini Kenya ikiwa ni mkakati wa kukuza soko Afrika.