Zulia Jekundu: Filamu ya Binti kutoka Tanzania ndani ya Netflix

Your browser doesn’t support HTML5

Filamu ya Binti kutoka Tanzania yasemekana kuwa ni ya kwanza katika historia ya nchi hiyo kuingia katika mtandao mkubwa wa streaming wa Netflix.