ZULIA JEKUNDU EP 324 : Show mpya ya Sauti Sol kuonyeshwa karibuni

Your browser doesn’t support HTML5

Show ya reality ya TV maarufu kama Sol Family inayohusisha kundi la kimuziki la Kenya la Sauti Sol inarejea tena kwenye season ya pili wakati huu ikiangazia zaidi maisha yao ya kimapenzi