ZULIA JEKUNDU EP 316: Wiki hii wakenya wamzungumzia Naomi Campbell

Your browser doesn’t support HTML5

Wiki hii Harrison Kamau anaangazia suala la wakenya kumzungumzia Naomi Campbell baada ya kupewa kazi ya kuwa balozi wa utalii nchini humo.