Zulia Jekundu: Dunia yaukaribisha mwaka mpya wa Tiger au Lunar

Your browser doesn’t support HTML5

Watu duniani wameukaribisha mwaka mpya wa Lunar (Tiger Year) kwa shangwe kubwa China na mataifa mengine ya Asia licha ya kuwepo changamoto za maambukizi ya COVID-19.