Zoezi la kumtafuta Spika mpya wa Bunge la Marekani laendelea

Your browser doesn’t support HTML5

Bunge la Marekani limeshindwa kupata Spika mpya na kupelekea wapigaji kura kuendelea na zoezi hilo kwa siku ya pili huku maoni tofauti yakiibuka.

Viongozi wa dunia na watu mbalimbali wajitokeza kuuaga mwili wa hayati Papa Benedicto huko Vatican ambako anatarajiwa kuzikwa Alhamisi.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari