Zoezi la kuhesabu kura laendelea Zambia
Your browser doesn’t support HTML5
Zoezi la kuhesabu kura nchini Zambia linaendelea ambako mamilioni ya watu walipiga kura zao Alhamisi katika uchaguzi mkuu wa rais uliyokuwa na ushindani mkali.
Your browser doesn’t support HTML5