Zoezi la chanjo linavyoendelea Tanzania

Your browser doesn’t support HTML5

Tanzania inaendelea na zoezi la utoaji Chanjo za Covid 19 katika maeneo mbalimbali ya Nchi, kwa makundi ya kipaumbele kama ya watumishi wa afya, Wazee na wenye Magonjwa yanayowaweka katika hatari zaidi ya kuathirika na virusi vya korona.