Zimbabwe yashuhudia wimbi la mauaji katika machimbo ya dhahabu

Your browser doesn’t support HTML5

Vurugu zinazo husiana na sekta ya madini nchini Zimbabwe zimesababisha vifo vya mamia ya watu kati ya mwaka 2019-20 kulingana na taasisi ya Crisis Group zikitokana na mapigano ya wachimba kugombea madini au magenge kuvamia machimbo na silaha kuwaibia.