Zimbabwe yalazimika kufanya malipo ya biashara kwa simu
Your browser doesn’t support HTML5
Baada ya upungufu wa fedha taslimu nchini Zimbabwe wananchi wanatumia simu kufanya malipo, hali ambayo imeifurahisha benki kuu ya nchi hiyo na inataka asilimia 90 ya Biashara ya fedha kufanyika kwa simu.