Zimbabwe yaeleza uchumi wake unatarajiwa kukua

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri wa Fedha wa Zimbabwe ameeleza kuwa nchi yake inayo matumaini ya uchumi wake kukua kwa asilimia 7.8 baada ya kusinyaa kwa miaka miwili mfululizo.