Zimbabwe na Ujerumani zafikia makubaliano juu ya wawekezaji

Your browser doesn’t support HTML5

Zimbabwe na Ujerumani zafikia muwafaka kulinda rasilmali za wawekezaji wa nchi hizo mbili baada ya mgogoro wa kufukuzwa wakulima wa kigeni Zimbabwe.