Ziara ya Rais Samia yaleta matumaini Kenya na Tanzania

Your browser doesn’t support HTML5

Taarifa kutoka Kenya zinaeleza kuwa ziara ya Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan nchini Kenya imeleta matumaini kwa nchi zote mbili baada ya mataifa haya kusaini mikataba kadhaa ya biashara.