ziara ya kushtukiza ya Waziri wa Ulinzi wa Marekani nchini Iraqi

Your browser doesn’t support HTML5

Ziara ya Waziri wa Ulinzi wa Marekani Lloyd Austin yakushitukiza nchini Iraq na sababu zilizopelekea ziara hiyo ni moja ya mambo yamekuwa yakijadiliwa. Ungana na mwandishi wetu akikuletea sababu za ziara hiyo na kile ambacho Iraq na Marekani wanashirikiana.