Ziara ya Blinken Ecuador kujikita katika demokrasia

Your browser doesn’t support HTML5

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken anatarajiwa kuhutubia nchini Ecuador kuhusu changamoto za Kidemokrasia zinazoikumba kanda hiyo.