Ziara ya Blinken Afrika kuimarisha usalama - Prof Macharia

Your browser doesn’t support HTML5

Mchambuzi wa diplomasianchini Kenya Profesa Munene Macharia aeleza umuhimu wa ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje Marekani Antony Blinken Afrika.