Zelenskyy ataka EU kumtangaza Putin kuwa mhalifu wa kivita

Your browser doesn’t support HTML5

Rais wa Ukraine ataka Umoja wa Ulaya kumtambua Vladimir Putin kuwa muhalifu wa kivita.

Madereva wanaosafirisha madini kutoka DRC hadi bandari ya Dar es Salaam wanaripoti madhila wanayokabiliana nayo njiani.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari