Zanzibar yapiga hatua katika upimaji haraka wa COVID-19
Your browser doesn’t support HTML5
Rais wa Zanzibar Hussein Mwinyi asema nchi yake itaanza kutumia teknolojia itakayo warahisishia wasafiri kupimwa COVID-19 kwa haraka kwa kupita mbele ya mashine na kupata majibu.