#BALonVOA2021 : Zamalek yashinda kwa pointi 97-64 dhidi ya GSP

Your browser doesn’t support HTML5

Zamalek (Misri) yashinda kwa pointi 97-64 dhidi ya timu ya GSP (Algeria) katika Ligi ya Mpira wa Kikapu ya Afrika (BAL) inayoendelea huko Kigali, Rwanda.