Zaidi ya watu robo milioni wamekufa Marekani kutokana na COVID-19

Your browser doesn’t support HTML5

Utafiti wa Chuo Kikuu cha Johns Hopkins Marekani umeonyesha Jumatano idadi hiyo ikivunja rekodi ya janga la corona, ikiwa mbele ya Mexico, Brazil na India.
Idadi ya vifo kutokana na maandamano ya kupinga kukamatwa kwa mgombea wa urais wa chama cha upinzani Uganda yafikia saba

UNHCR yasema raia wa Ethiopia zaidi waingia Sudan wakikimbia vita katika jimbo la Tigray, Ethiopia.